Posts

Njia Nne za Kutumia Ufundishaji na Ujifunzaji Unaomzingatia Mwanafunzi

Image
Wanafunzi wa Chuo Cha Ualimu Mpwapwa wakishiriki kwenye moja ya shughuli za ujifunzaji darasani. Picha na Mwandishi wa Makala haya.  Katika Makala zilizotangualia, nimekuwa nikijadili kuhusu elimu inayomzingatia mwanfunzi, hususani ujifunzaji wa kiudadisi. Makala ya kwanza ilijadili kuhusu maana, faida na namna ujifunzaji wa kiudadisi unavyoweza kutumiwa mashuleni.  Makala ya pili ililenga kujadili mbinu zinazoweza kutumiwa kujenga utamaduni wa ufundishaji na ujifunzaji wa kiudadisi mashuleni.  Makala ya tatu kwa upande mwingine, ilijadili namna mfumo wa sasa wa ufundishaji mashuleni unavyowanufaisha walimu kuliko wanafunzi.  Makala haya yanalenga kujadili njia nne ambazo walimu na wawezeshaji wengine wanaweza kuzizingatia ili kuwezesha kwa kufuata misingi ya ujifunzaji wa kiudadisi. Njia hizi zitakazojadiliwa kwa kina ni Kuwamilikisha somo wanafunzi, mwalimu kuongea kwa kiasi na kuuliza maswali zaidi, kusisitiza uthibitisho wa hoja za wanafunzi na mwalimu...

Walimu, Ninyi ndio Mnaojifunza, Wanafunzi wenu ni Wapokea Taarifa tu

Image
                                            Picha kwa hisani ya www.jiandae.wordpress.com                                                                               Kuna msemo usemao, kati ya anayefundisha na anayefundishwa, anayejifunza zaidi ni yule anayefundisha/ elekeza. Msemo huu una ukweli kwa kuwa, anayefundisha hujiandaa kwa kila hali na pia kupata fursa ya kutumia kile alichoji...

Mbinu za Kusaidia Kujenga Utamaduni wa Ufundishaji wa Kiudadisi Mashuleni

Image
                   Picha kutoka tovuti ya Linkedin Moja ya changamoto zinazokwamisha matumizi ya ufundishaji wa kiudadisi mashuleni ni hali ya utayari wa walimu, wakuu wa shule, viongozi wa kisiasa na wadau wengine wa elimu.  Changamoto kadhaa zinatajwa kukwamisha utekelezaji wa ufundishaji na ujifunzaji huu. Baadhi zikiwemo uhaba wa nyenzo za kujifunzia na walimu kukosa maarifa ya namna ya kutumia njia za ufundishaji zainazoendana na matakwa ya mfumo huu.  Hata hivyo, katikaki ya changamoto hizi, bado utekelezaji wa ufundishaji na ujifunzaji huu unawezekana. Utayari wa wadau wa elimu ndio chachu pekee ya kufanikisha hili. Palipo na utayari, changamoto kama hizi huweza kuonwa kama fursa na kuzifanyia kazi na hatimaye kufanikisha utekelezaji wa ufundishaji unaowazingatia wanafunzi. Ni heri mwalimu wa darasa la wanafunzi 50 aliye na kitabu kimoja na nia thabiti ya kut...

Popular posts from this blog

Mambo Makuu Manne ya Kuzingatia ili Kufanya Upimaji Endelevu Wenye Tija

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Katika Kuboresha na Kuongeza Ufanisi wa Shule.

Kubadilika kwa Mitaala: Walimu na Wanafunzi Wabadilike kwa Namna Gani?