Posts

Showing posts from August, 2017

Walimu na Teknolojia: Zifahamu Tovuti Nzuri kwa Ajili ya Walimu

Image
Skrinishoti ya video inayoitambulisha tovuti ya PatrickJMT Katika makala kadhaa kwenye blogu hii, nimekuwa nikijadili kuhusu namna teknolojia zinavyoweza kutumiwa kwenye ufundishaji na ujifunzaji. Pamoja na changamoto nyingi katika mazingira ya kufundishia, bado ninaamini kuwa, matumizi ya TEHAMA kwenye ufundihsaji ni moja ya suluhisho la changamoto kadhaa za ufundishaji na ujifunzaji. Moja ya matatizo yanayoweza kutatuliwa na TEHAMA ni upungufu wa zana za kujifunzia kama vile vitabu na vyanzo vingine kama vile videos, picha, games na animations. Kutokana na uwepo wa namna mbalimbali za watu kujifunza, nimeona nitenge muda kidogo wa kuandaa video zinazoelezea tovutinzuri kwa ajili ya walimu na wanafunzi. Ninaamini kuwa video hizi zitakuwa hamasa kwa walimu, wanafunzi na wadau wengine wa elimu wanaopenda kujifunza namna mbalimbali wnavyoweza kutumia teknolojia kwenye ujifunzaji. Ninaamini pia kuwa, hii ni hamasa kwa wale wasiopenda kusoma maandiko bali kujifunza kwa kutazama am

Popular posts from this blog

Mambo Makuu Manne ya Kuzingatia ili Kufanya Upimaji Endelevu Wenye Tija

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Katika Kuboresha na Kuongeza Ufanisi wa Shule.

Kubadilika kwa Mitaala: Walimu na Wanafunzi Wabadilike kwa Namna Gani?