Namna Walimu Wanavyoweza Kuboresha Ufundishaji Kwa Kutumia TEHAMA
Picha ya sehemu ya ndani ya moyo kutoka kwenye moja ya Video inayoelezea mfumo wa mzunguko wa damu Kwa kipindi cha miaka ya 2011 hadi 2013 nilikuwa mmoja wa wawezeshaji wa mradi wa kuwawezesha walimu wa shule za sekondari kutumia Teknologia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwenye mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Mradi huu ujulikanao kama SME (Science, Maths and English)-ICT Project , ulikuwa unatekelewa na Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi (MoEVT). Mradi huu ulilenga masomo ya ...