tag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post9085890181252979644..comments2023-08-19T16:35:15.706+03:00Comments on Mwangaza: Shule za Msingi za Vijijini- hali bado ni tete!Albert Kissimahttp://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-60053785440463705842013-03-02T12:01:27.105+03:002013-03-02T12:01:27.105+03:00Hapo sasa ndugu Chib, hapa wazazi wana la kujibu. ...Hapo sasa ndugu Chib, hapa wazazi wana la kujibu. Ila kama nilivyotangulia kusema, mwamko wa elimu kwa wazazi/walezi vijijini bado ni mdogo hivyo hawaoni sana umuhimu wa hata kuchangia madawati. Bila shaka hata na waalimu watakuwa kwa namna moja ama nyingine wanahusika. Bahati nzuri (ama mbaya), shule nyingi za vijijini ziko chini ya mpango wa US AID unaotoa msaada wa chakula ktk shule za msingi. Shule niliyopiga picha hizi, msaada huu haujawafikia bado. Wazazi waliambiwa wachange hela ya chakula cha watoto wao, wakagoma. Hali imepelekea watoto kurudi nyumbani kwenda kula. Wale wanaotokea mbali sana na shule wanalazimika kuvumilia hadi watakaporudi nyumbani jioni. Kibaya zaidi ni pale mtoto huyu anaposhinda siku nzima bila kula, halafu si ajabu hata chai (angalau ya mkono mmoja) hakupata na cha kusikitisha mlo mmoja wa usiku nao unakuwa ni wa kubahatisha usio kamili.Tammy Davishttp://www.eas.ndhu.edu.tw/discussion/viewtopic.php?CID=4&Topic_ID=1226noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-41240889529418579862012-03-27T04:25:40.941+03:002012-03-27T04:25:40.941+03:00Hapo sasa ndugu Chib, hapa wazazi wana la kujibu. ...Hapo sasa ndugu Chib, hapa wazazi wana la kujibu. Ila kama nilivyotangulia kusema, mwamko wa elimu kwa wazazi/walezi vijijini bado ni mdogo hivyo hawaoni sana umuhimu wa hata kuchangia madawati. Bila shaka hata na waalimu watakuwa kwa namna moja ama nyingine wanahusika.<br /><br />Bahati nzuri (ama mbaya), shule nyingi za vijijini ziko chini ya mpango wa US AID unaotoa msaada wa chakula ktk shule za msingi. Shule niliyopiga picha hizi, msaada huu haujawafikia bado. Wazazi waliambiwa wachange hela ya chakula cha watoto wao, wakagoma. Hali imepelekea watoto kurudi nyumbani kwenda kula. Wale wanaotokea mbali sana na shule wanalazimika kuvumilia hadi watakaporudi nyumbani jioni. Kibaya zaidi ni pale mtoto huyu anaposhinda siku nzima bila kula, halafu si ajabu hata chai (angalau ya mkono mmoja) hakupata na cha kusikitisha mlo mmoja wa usiku nao unakuwa ni wa kubahatisha usio kamili.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-61476275641985937252012-03-25T19:55:20.781+03:002012-03-25T19:55:20.781+03:00Hivi na ile michango ya madawati kwa kila mwananfu...Hivi na ile michango ya madawati kwa kila mwananfunzi anayeanzan shule huwa ianafanyia nini, au wanafunzi wakimaliza darasa la saba basi yanakuwa yamevunjika au wanaondoka nayo? Mbona kila mwaka madawati yakiongezeka ni yale yaliyotolewa na wasamaria wema au kwenye kampeni za kisiasachibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.com