tag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post6633311045382337773..comments2023-08-19T16:35:15.706+03:00Comments on Mwangaza: Namna Walimu Wanavyoweza Kuboresha Ufundishaji Kwa Kutumia TEHAMAAlbert Kissimahttp://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-62070549151805970172015-11-02T10:11:35.503+03:002015-11-02T10:11:35.503+03:00Ndio hivyo Mushi. Jamaa alikiuka miiko ya uandishi...Ndio hivyo Mushi. Jamaa alikiuka miiko ya uandishi wa habari. Sawa, aliniomba aiweke kwenye magazeti anayooandikia Mwananchi na Jamhuri ( kama sijakosea). Nilimruhusu, lakini nilijua anafanya hivyo kama namna ya kusambaza maudhui na bila ya kuathiri haki za mwandishi. Bado ninamkumbusha tu kuwa ajitathmini. Sina haja ya kupoteza muda wa kumfuatilia alimradi (angalao) nilichotaka kukifikisha kwa hadhira kilipata wigo zaidi. Ninaimani pia, Yona Maro atajirekebisha. Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-34349642368300141752015-10-08T21:00:55.731+03:002015-10-08T21:00:55.731+03:00albert YONA kakuibia hii makalaalbert YONA kakuibia hii makalaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06951786849813006895noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-40553066756785406432015-03-08T15:35:10.344+03:002015-03-08T15:35:10.344+03:00Profesa Mbele, shukrani kwa uzoefu wako. Maoni yak...Profesa Mbele, shukrani kwa uzoefu wako. Maoni yako ni darasa tosha pia. Watanzania sisi bado ni lile sikio la kufa, lisilosikia dawa. Tunahitaji kubadili sana mitazamo yetu na kuachana na kufanya mambo kwa mazoea.

Kwa ulimwengu wa sasa, ambao mawasiliano yamerahisishwa kupitia tekinolojia, utashangaa kuwakuta walimu wenye simu na kompyuta nzuri pamoja na mtandao wa intaneti wanasubiri serikali iwaletee semina mashuleni.

Kwa mfano, walimu wanasema hawajapata semina za mabadiliko ya mitaala iliyoboreshwa mwaka 2005. Pengine wanazihitaji semina ili wapate posho. Kumbe wangeweza kuendelea kujifunza masuala haya ya mitaala inayoitwa mipya kupitia mitandao ya intaneti. Humo kuna vitabu vingi, majarrida, makala, video n.k

Waalimu tungeweza kuendesha pia mijadala ya kuelekezana masuala haya tukiwa popote Tanzania na duniani. Tungeshafika mbali. Tunasubiri semina mashuleni.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-81858646997118513222015-02-23T22:44:17.315+03:002015-02-23T22:44:17.315+03:00Hii ni mada muhimu. Ni ukweli kwamba maendeleo ya ...Hii ni mada muhimu. Ni ukweli kwamba maendeleo ya tekinolojia yanatuwezesha kufanya mambo--kama vile kufundisha au kujifunza--kwa namna tofauti na tulivyozoea.

Kila ninapowasikia wa-Tanzania wakisema wanataka wataalam walioko nje warudi nyumbani kusaidia kujenga Taifa huwa najiuliza kama wa-Tanzania wamefunguka mawazo na kutambua kuwa dunia ya leo ni tofauti na ile ya miaka iliyopita.

Kutokana na tekinolojia kama uliyoelezea, mtaalam anaweza kukaa Tokyo au Johannesburg akachangia utaalam wake kwa yeyote duniani.

Mwalimu kama mimi ninaweza kufundisha darasa lenye watu sehemu mbali mbali duniani. Haijalishi uko nchi gani. Mimi mwenyewe ninajibu masuali na kutoa maelekezo kwa watu kutoka sehemu mbali mbali xs dunia, bila kwenda nchini kwao na kuonana nao uso kwa uso.

Wa-Tanzania wajitahidi kuwa na upeo huu.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com