tag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post1689063333479658707..comments2023-08-19T16:35:15.706+03:00Comments on Mwangaza: Uyoga huu wa Ajabu!Albert Kissimahttp://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-85274176018321740352010-04-30T15:15:27.493+03:002010-04-30T15:15:27.493+03:00Nashukuru kaka Bennet kwa maelezo yako mazuri, nim...Nashukuru kaka Bennet kwa maelezo yako mazuri, nimeifurahia elimu hii kwa hakika.

Kwa bahati nzuri niliweza kupata hatua ya mwanzo kabisa ya uotaji wa uyoga huu. Nitaiweka pia kwa manufaa yangu na ya wengine katika harakati za kujifunza zaidi.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-89193004149249912112010-04-30T02:56:20.262+03:002010-04-30T02:56:20.262+03:00Hii ni aina ya uyoga uitwao stinkhorns mushroom n...Hii ni aina ya uyoga uitwao stinkhorns mushroom ni uyoga toka jamii ya phallales ambao mara nyingi hupatikana kama taka za mbao zimemwagwa sehemu
Uyoga huu pamoja na kuwa na harufu mbaya lakini hauna sumu lakini huwa na sumu unapoanza kuota tu
Njjia za kupambana nao ili kuuondoa ni kuondoa mara unapoanza kuota kabla ya kutoa harufu mbaya au mwagia copper sulphate iliyochanganywa na maji, pia unaweza kuondoa mabaki ya mbao ili usiote tenaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-7677886940544579082010-04-26T20:22:19.473+03:002010-04-26T20:22:19.473+03:00Ni kweli kaka. Uyoga huu umeendea kuota, na nimeen...Ni kweli kaka. Uyoga huu umeendea kuota, na nimeendelea kuuchunguza. Nimefanikiwa kupata hatua ya mwanzo kabisa ya ukuaji wa uyoga huu. Hivi punde nitaweka picha ionyeshayo hatua hiyo.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6133720164610544108.post-3746400499540544862010-04-25T15:18:01.899+03:002010-04-25T15:18:01.899+03:00Nami nilitaka kusema kuwa Kaka Benet atakuwa na ut...Nami nilitaka kusema kuwa Kaka Benet atakuwa na utaalamu juu ya hili.
Tusubiri utaalamu wake.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com